SHIRIKA LA VIWANDA VIDOGO (SIDO)

Ugeni kutoka wizara ya viwanda Tanzania ulioongozwa na katibu mkuu Dr, Consolatha Ishebabi, wakiwa na Staff wa Fakama warehouse and Processing Co.Ltd

Mkurugenzi Mkuu wa wizara ya Viwanada Dr CONSOLATHA ISHEBABI atembelea na kujionea maendeleo ya kiwanda cha FAKAMA WAREHOUSE AND PROCESSING CO.LTD kilichopo mkoani mwanza wilaya ya misungwi katika kijiji cha Mapilinga


ugeni huu uliambatana na ushauri juu ya mikakati ya kupambana na tatizo la upungufu wa Mafuta ya kupikia Tanzania.


Hapo chini ni picha ya pamoja na baadhi ya wafanya kazi wa Kampuni mbele ya shamba la Alizeti la Kampuni ya Fakama