NYANZA CO-OPERATIVE UNION (1984) LTD

Chama cha ushirika cha Nyanza kinashirikiana na kampuni ya Fakama Warehouse and Processing Co.Ltd kuatika mchakato mzima wa kilimo kikubwa cha malighafi yakutosha uzalishaji wakati wote


Kwa mwanzo chama hiki cha ushirika cha Nyanza Co-operative union (NCU) kimetukodisha shamba lenye ukubwa wa ekari 100 kwa ajiri ya kilimo cha Alizeti.

Picha hapo juu ni sehemu ya shamba lenye jumla ya ekari 100 lililopo Misasi katika kijiji cha Ikoma wilayani misungwi - Mwanza